• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bandari Mtwara kupakua tani 10,000 za petroli

    (GMT+08:00) 2018-06-25 19:47:17

    KWA mara ya kwanza Bandari ya Mtwara inatarajia kushusha tani 10,000 za mafuta ya petroli na dizeli ambazo ni kiwango kikubwa tangu ianzishwe.

    Bandari ya Mtwara ni ya tatu kushusha mafuta kwa kiwango hicho baada ya bandari za Dar es Salaam na

    Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Nelson Mlali amesema ni mara ya kwanza kwa bandari yake kupokea mzigo mkubwa namna hiyo wa mafuta wa tani za ujazo 10,000 kwa mara moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako