• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana wa Afrika watembelea mfereji wa Dujiangyan

    (GMT+08:00) 2018-06-26 09:44:05

    Vijana wanaohudhuria tamasha la vijana wa China na Afrika wametembelea mfereji wa Dujiangyan tarehe 25 mchana. Mfereji huo ni mradi mkubwa wa maji uliojengwa kwa kuongozwa na mkuu wa mkoa wa Shu hayati Li Bing na mtoto wake katika katika Enzi ya Madola ya Kivita nchini China yaani kuanzia mwaka 475 KK hadi mwaka 221 KK. Vijana wa afyika wameshangaa kusikiliza kuwa mradi huo wenye historia zaidi ya miaka elfu 2200 bado unafanya kazi siku hizi.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako