• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la nne la ushirikiano wa vyombo vya habari kati ya China na Afrika lafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2018-06-26 10:24:12

    Kongamano la nne la ushirikiano wa vyombo vya habari kati ya China na Afrika limefanyika leo mjini Beijing, likishirikisha wajumbe zaidi ya 400 kutoka idara za serikali za China na nchi za Afrika na mashirika ya vyombo vya habari.

    Kongamano hilo linalenga kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kwenye Mkutano wa kilele wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika mwaka 2015, kupanua mawasiliano na ushirikiano katika sekta ya vyombo vya habari kati ya pande hizo mbili.

    Wakati wa baraza hilo, vyombo vya habari vya pande hizo mbili vitasaini makubaliano kadhaa ya ushirikiano na kupitia Azimio la China na Afrika kuimarisha ushirikiano wa vyombo vya habari katika zama mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako