• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ellen Johnson Sirleaf, ateuliwa mwenyekiti wa jopo la uchumi Afrika

    (GMT+08:00) 2018-06-26 19:34:54

    Aliyekuwa rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa jopo jipya la kuendesha mabadiliko ya uchumi wa Afrika.

    Uteuzi huo ulitangazwa kwenye mkutano wa mageuzi ya Afrika uliofanyika mjini Accra Ghana.

    Afisa wa kituo cha Afrika cha mabadiliko ya Uchumi Dkt. KY Amoaka amesema Jopo hilo litazingatia hasa fursa za wanawake na vijana katika jitihada zake za kurekebisha uchumi wa Afrika.

    Jopo la Mabadiliko ya Kiafrika hukutanisha viongozi na wasomi wa bara hilo kujadili sera na ushirikiano zinazohitajika kuendeleza ukuaji endelevu na ushirikiano wa kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako