• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la Dunia 2018: Mpira mpya kuanza kutumiwa hatua ya mtoano

  (GMT+08:00) 2018-06-28 09:25:49

  Shirikisho la mpira duniani (FIFA) limetangaza mpira mpya utatumiwa katika mechi za hatua ya mtoano katika kombe la dunia nchini Russia.

  Mpira huo uliopewa jina Telstar Mechta utachukua nafasi ya Telstar 18, mpira wa Adidas ambao umetumiwa katika hatua ya makundi.

  Maana ya neno Mechta kwa neno la Kirusi ni "Ndoto". Mpira huop utatumiwa kwa mara ya kwanza Jumamosi hii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako