• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwaka mmoja tangu ashike madaraka, Kiongozi wa Hong Kong aeleza kuwa na imani kubwa na Hong Kong

    (GMT+08:00) 2018-07-01 18:35:24

    Mwaka mmoja tangu aapishwe kuongoza serikali ya Hong Kong, Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya kiutawala ya Hong Kong Bi. Carrie Lam, amesema ana imani kubwa na maendeleo ya Hong Kong.

    Bi. Lam aliyasema hayo kwenye hafla ya kuadhimisha miaka 21 tangu Hong Kong irejee China Bara na tangu kuanzishwa kwa mamlaka maalum ya kiutawala ya Hong Kong HKSAR.

    Aidha alikumbusha maneno aliyotoa kwenye hotuba ya Julai Mosi mwaka jana aliposema, hakuna haja ya kutokuwa na imani kwa kuzingatia mafanikio yaliyopatiakana katika kipindi cha miongo miwili tangu kujinga na China Bara.

    Akizungumzia mwaka moja wa kuwa madarakani, Bi. Lam amesema serikali ya Hong Kong imetekeleza kanuni ya nchi moja na kushika kwa makini utaratibu huo, na kutovumilia vitendo vyovyote vinavyoweza kuvunja azimio hilo.

    Zaidi akisema serikali ya mpya ya Hong Kong imekuwa na mwanzo mzuri ambao umesaidiwa na serikali kuu, ikiimarishwa na utaratibu wa kuheshimianana na kuelewana, pamoja na juhudi za pamoja kwenye sekta mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako