• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubora wa kahawa nchini ili kuongeza mauzo ya nje

    (GMT+08:00) 2018-07-02 19:43:01

     

    Bodi ya Taifa ya Maendeleo ya Kilimo ya Nje (NAEB) imesema kuwa jitihada nyingi zinawekwa ili kuongeza wingi na ubora wa kahawa nchini ili kuongeza mauzo ya nje hadi tani 24,500 mwaka huu.

    Dk. Alfred Bizoza, Profesa wa Uchumi Kilimo katika Chuo Kikuu cha Rwanda ambaye amechunguza masuala yanayoathiri uzalishaji wa kahawa amesema uzalishaji bado ni mdogo kwa sababu kilo moja ni franc 177 ilhali kuna haja ya kuwekeza franc 300 kuzalisha kilo moja.

    Aidha amesema Kuna haja ya wakulima ambao wanafanya kazi katika vyama vya ushirika kuongeza uzalishaji kwa kuwa wakulima 7 tu kwa wakulima 50 ndio wamejiunga na vyama vya ushirika leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako