• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Somalia, Ethiopia wawekeza pamoja katika bandari nne

    (GMT+08:00) 2018-07-02 19:45:23

    Somalia na Ethiopia wametangaza kuwekeza pamoja katika bandari nne ili kuvutia uwekezaji wa kigeni kwa nchi zao mbili.

    Viongozi walikubaliana kuwekeza katika vifaa na utoaji wa huduma hasa kwa bandari zinazoongoza katika bara ambazo zinaweza hudumia bahari ya Hindi na Bahari ya Shamu.

    Siku moja kabla ya ziara ya Abiy Somalia, Falme za Kiarabu waliahidi kutoa dola bilioni 3 kwa Ethiopia katika misaada na uwekezaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako