• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Technologia ya kisasa kupiga jeki kilimo cha simusimu:

    (GMT+08:00) 2018-07-02 19:45:46

    Wazalishaji wa simusimu wanaweza kuongeza uzalishaji na kuongeza mapato yao kupitia kuboreshwa kwa kilimo na teknolojia za kisasa, Waziri wa Kilimo Dr Charles Tizeba amesema.

    Aidha amesema Tanzania ilikuwa kati ya wauzaji wa nje, wa watano wa juu wa kimataifa ambapo mwaka 2016 ilizalisha dola za Kimarekani milioni 129 baada ya kuuza nje tani milioni 133,752.

    Dk. Tizeba ameeleza kwamba vijana wa Tanzania wanaweza kuingilia uzalishaji wa simusimu.

    Vijana watasaidia kuboresha sekta ya kilimo kwa kuboresha upatikanaji wa mafunzo ya kiufundi, habari za soko, na usimamizi wa biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako