• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Wachimbaji migodi wadogo wameiomba serikali kurekebisha sheria na kanuni za madini

    (GMT+08:00) 2018-07-02 19:46:10

    Wachimbaji migodi wadogo wameiomba serikali kurekebisha sheria na kanuni za madini kwa sababu wanapendelea sana wawekezaji wakubwa ambao ni wengi wao ni wa nje.

    Wafanyakazi wadogo 100,000 katika Wilaya ya Mubende, wamesema Sheria ya Uchimbaji wa madini ya mwaka 2003 haikuzingatia haki za wachimbaji wadogo wadogo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako