• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi awataka vijana wa China wathubutu kuota ndoto

    (GMT+08:00) 2018-07-03 09:38:51

    Rais Xi Jinping wa China amewaambia vijana wa China kuthubutu kuota ndoto na kufanya kazi kwa ujasiri na bidii ili kutimiza ndoto zao. Rais Xi ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC, ameyasema hayo alipozungumza na uongozi mpya wa Kamati Kuu ya Shirikisho la Vijana wa CPC la China. Amesema nchi itakuwa na mustakbali mzuri na matumaini, kama vijana wana nia ya kuthubutu, uwezo na hisia nzito ya wajibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako