• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis, Mashindano ya Wimbledon: Serena na Federer wapata ushindi mechi za kwanza

    (GMT+08:00) 2018-07-03 11:01:52

    Wachezaji wakongwe Serena Williams wa Marekani na Roger Federer wa Uswisi, jana kila mmoja amepata ushindi kwenye mechi ya kwanza ya michuano ya Wimbledon.

    Serena alipata ushindi dhidi ya Arantxa Rus wa Uholanzi kwa seti ya 7-5 na 6-3.

    Kwa upande wake Roger Federer mwenye miaka 37 alipata ushindi wa seti ya 6-1 6-3 na 6-4 alipocheza dhidi ya Dusan Lajovic wa Serbia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako