• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Uchumi yafunga maduka zaidi

    (GMT+08:00) 2018-07-03 19:57:13

    Maduka ya Uchumi nchini Kenya yameendelea kufunga matawi zaidi huku yakihitaji dola milioni kumi ili kuyaokoa.

    Uchumi ambayo ilikuwa imesalia na matawi 12 pekee sasa imefunga matawi yake ya Koinange, Juja, Buru Buru na Kericho.

    Mkurungezi mkuu wake Mohamed Ahmed Mohamed anasema pesa hizo dola milioni 10 zitawasaidia kuimarisha mtaji wao.

    Amsema sasa wanajadili mpango wa ufadhili na mashirika kadhaa ya kifedha kujaribu kupata fedha hizo, lakini baadhi ya wafadhili wanahofia Uchumi ina hasara kubwa hivyo wanaweza kupoteza fedha..

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako