• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Faida ya Airtel yaongezeka mara tatu

    (GMT+08:00) 2018-07-03 19:58:08

    Faida ya kampuni ya mawasiliano ya Airtel Afrika baada ya ushuru kwa kipindi cha robo ya kwnza ya mwaka 2018 imefikia dola milioni 154 ikiwa ni mara tatu ya kipindi sawa na hicho mwaka janaambapo ilipata dola milioni 57.

    Faida yake ilipanda kwa asilimia 10.7 hasa ikisaidia na matumizi ya data na huduma za kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu.

    Utumiaji wa data ya Airtel umekua kwa asilimia 88 huku wateja wakitumia megabyte bilioni 70 ikilinganishwa na bilioni 37 za kipindi sawa na hicho mwaka 2017.

    Mkurungezi mkuu wa Airtel Afrika Raghunath Mandava amesema wateja wa data wameongezeka kwa asilimia 48. "

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako