• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya Airways yafanya kamepni kuvutia wasafiri

    (GMT+08:00) 2018-07-03 20:00:01

    Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways limeanza kampeni ya kuwavutia wakenya wanaishi nje ya nchi kusaifiri na shirika hilo, huku likijiandaa kuanza safari za moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani mwezi Oktoba.

    Mkurungezi wa mauzo katika masoko makuu Jennifer Njuguna yuko Marekani kuwasiliana na wakenya nchini humo kuhusu huduma za Kenya Airways.

    Njuguna amesema shirika hilo litakuwa na ofa spesheli z ufunguzi wa safari zake kutoka Marekani hadi Kenya ili kuwavutia wasafiri.

    Kwa sasa wakenya wanaoishi Marekani hutumia njia ya Ulaya ama milki za kiarabu kurudi nyumbani lakini shirikla la Kenya Airways kwa kutumia safari za moja kwa moja litapunguza safari yao kwa masaa sita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako