• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na mwenyekiti wa baraza la juu la bunge la Russia

    (GMT+08:00) 2018-07-04 21:20:33

    Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na mwenyekiti wa baraza la juu la bunge la Russia Bw. Valentina Matvienko.

    Katika mazungumzo yao, Rais Xi amesema hivi sasa uhusiano kati ya nchi hizo mbili uko katika kipindi kizuri zaidi katika historia, na kuwa mfano mzuri wa kuigwa kwa mawasiliano kati ya nchi kubwa na jirani yake. Amesema pande hizo mbili zinatakiwa kuthamini na kulinda uhusiano huo imara wa kiwenzi na kimkakati, na kufanya juhudi za kujiunga na mambo ya kimataifa na usimamizi wa dunia, ili kutoa mchango muhimu katika kulinda amani na utulivu wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako