• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tetesi za Usajili Wachezaji: Madrid yakanusha kuingia mktaba na Mbappe wa Ufaransa

  (GMT+08:00) 2018-07-05 09:22:08
  Klabu ya soka ya Real Madrid ya Hispania imekanusha taarifa zilizozagaa kuwa imkamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Ufaransa Kylian Mbappe.

  Habari hiyo imetolewa na ofisi ya Habari ya Real Madrid FC imekanusha vikali habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa kuwa imeingia makubaliano na Mbappe kwa du la pauni milioni 240.

  Kwa mujibu wa habari hiyo, Real Madrid inaheshimu mustakabali wa mchezaji huyo ambaye kwa sasa ambaye aatumikia klabu ya PSG kwa mkopo akitokea klabu ya Monaco.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako