• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa zamani wa Barcelona akanusha kufuja fedha za klabu

  (GMT+08:00) 2018-07-05 09:22:27
  Rais wa zamani wa klabu ya Bracelona Sandro Rosell ambaye sasa anakabiliwa na kesi ya ufujaji wa pesa za klabu amekanusha tuhuma za kutoa fedha za kugaharamia matibabu ya mchezaji wa zamani wa timu hiyo Eric Abidal ambaye alikuwa akisumbuliwa na tatizo la ini kushindwa kufanya kazi.

  Taarifa kutoka nchini Hispania zinaeleza kuwa Rosell ambaye yuko rumande aliidhinisha fedha kwa ajili ya kununua ini jipya ili kulipandikiza kwa Abidal.

  Baada ya Rosell, mahakama nchini Hispania inafanya uchunguzi wa taarifa hiyo kuhusu Rosell na mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Abidal ambaye yupo kwenye benchi la ufundi la klabu hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako