• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la Dunia: Neymar ajitetea kuhusu tuhuma za kujiangusha

  (GMT+08:00) 2018-07-05 09:22:47
  Mshambuliaji wa Brazil Neymar amejitetea dhidi ya madai kuwa alimhadaa mwamuzi wakati timu yake ilipopambana na Mexico kwenye michuano ya kombe la dunia, akisema ni anasikia maumivu.

  Neymar,26, anadaiwa kumhadaa mwamuzi kwa kuonyesha kuwa alitendewa vibaya sana na Miguel Layun wa Mexico kwa kumkanyaga kwenye kifundo cha mguu.

  Kocha wa Mexico Juan Carlos Osorio alisema kitendo alichokiita cha kuigiza cha Neymar si mfano mzuri katika mchezo wa mpira wa miguu.

  Kocha wa Brazil, Tite alimtetea mchezaji wake akisisitiza kuwa ni kweli Layun ''alimkanyaga''.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako