• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China aanza ziara nchini Bulgaria na Ujerumani

    (GMT+08:00) 2018-07-05 17:31:36

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo asubuhi ameondoka Beijing na kuanza ziara rasmi nchini Bulgaria na Ujerumani.

    Akiwa nchini Bulgaria, Bw. Li Keqiang atahudhuria mkutano wa saba wa viongozi wa China na nchi za Ulaya ya katikati na mashariki, na baadaye atafanya ziara nchini Ujerumani na kuongoza duru ya tano ya mazungumzo kati ya serikali za China na Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako