• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Kenya yapoteza ushuru wa bilioni 26 za sukari

    (GMT+08:00) 2018-07-05 20:10:40

    Serikali imepoteza shilingi bilioni 36 za ushuru kutokana uingizaji wa sukari bila ushuru.

    Halmashauri ya ushuru nchini Kenya imefanya uchunguzi na kugundua zaidi ya kampuni 113 kubwa na 13 ndogo zimehusika kwa kuingiza sukari hiyo nchini.

    Kampui hizo zitachunguzwa zaidi kuangliwa iwapo ziliingiza sukari iliyokuwa na kemikali ama sumu.

    Hata hivyo agizo la kuingiza sukari bila ushuru nchini lilitolewa na wizara ya fedha mwezi dismeba mwaka jana baada ya ukame ulioathiri mavuno ya sukari ya humu nchini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako