• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Wabunge wataka ushuru wa Watsup kuondolewa

    (GMT+08:00) 2018-07-05 20:13:26

    Baadhi ya wabunge nchini Uganda wamejadili kuondolewa kwa ushuru wa mitandao ya kijamii .

    Kyadondo Robert ,Gerald Karuhanga na wenzao wameanza kusaka sahihi 150 ili kuondoa sheria hiyo iliyochangia malalamishi makubwa kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.

    Uganda inatoza ushuru wa asilimia 1 kwa huduma za fedha kwenye simu za rununu pamoja na shilingi 200 kwa utumiaji wa mitandao ya kijamii.

    Wajasiriamali wadogo wadogo wameathirika vibaya na ushuru huo ulipunguza mapato yao.

    Wabunge hao wamesema ushuru huo unatakiwa kujadiliwa upya ili kupunguza hali ya maisha ya waganda.

    Rais museveni hata hivyo amesema ushuru huo ulipaswa kuwa asimia 0.5 na sio asilimia 1 na haitwawezekana kuondolewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako