• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanamichezo wa kuinua vitu vizito Zanzibar walia na Serikali

  (GMT+08:00) 2018-07-06 08:28:46
  Chama cha kuinua vitu vizito na kujenga misuli Zanzibar kimeiomba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na wadhamini kuwasidia ili kuendelea kuwakilisha Zanzibar kwenye mashindano ya kimataifa kwa mafanikio zaidi.

  Rais wa chama hicho Bakar Hashim Bakar amesema wameshiriki mashindano mengi ya kimataifa na kuchaguliwa kuwa mwanachama kamili wa mchezo huo baada ya kumaliza mashindano ya dunia yaliyofanyika nchini Cameroon.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako