• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wakenya wawasha moto

  (GMT+08:00) 2018-07-06 08:31:23

  Dereva chipukizi wa mbio za magari kutoka Kenya, Karan Patel na msoma ramani wake (dreva msaidizi) James Mwangi wameibuka washindi wa mashindano yam bio za magari wakitumia saa 2:34:27 kumaliza mashindano hayo kwa kutumia gari aina ya Mitsubish Evolution 10.

  Mashindano hayo yamefanyika mjini Monduli Arusha, nje kidogo ya mji wa Arusha kwa kushirikisha magari 14, kati yao ni magari 9 pekee ndio yalifanikiwa kumaliza .

  Nafasi ya pili ilikwenda kwa watanzania Gurjit Singh akiwa na msoma ramani wake Shameer Yusuph wakimaliza kwa kutumia saa 1:37:27 huku nafasi ya tatu ikienda pia kwa watanzania Dharam Pandya na msaidizi wake Mosses Matovu waliomaliza kwa saa 1:44:10.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako