• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yaanza maandalizi ya kufuzu michuano ya kriketi ya dunia ya mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2018-07-06 08:32:17
    Timu ya taifa ya kriketi ya Uganda jana iliondoka kuelekea nchi jirani ya Rwanda kuungana na timu zingine za Afrika Mashariki katika michezo ya kufuzu michuano ya kombe la dunia la kriketi la mwaka 2020.

    Michuano hiyo itakayoanza kesho, huku Uganda itakutana na timu za Tanzania, Kenya na Rwanda.

    Roger Mukasa nahodha wa timu hiyo aliambia shirika la habari la China Xinhua kuwa, wamejiandaa vizuri na wanauhakika watafanikiwa kufuzu.

    Timu mbili zitawakilisha Afrika Mashariki katika michuano ya Afrika ya kufuzu kombe la dunia la Kriketi ya mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako