• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ratiba ya kujiandaa na ligi kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2018/2019

    (GMT+08:00) 2018-07-06 08:34:31
    Ratiba ya mechi za kirafiki watakazocheza Manchester United, Manchester City, Tottenham Hospur, Liverpool, Chelsea na Arsenal kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza (EPL 2018/2019 imetoka.

    Mechi za kwanza za kirafiki zitakuwa Man City watavaana na Borussia Dortmund, huku CF America wao watakutana na Manchester United, AS Roma watamenyana na Tottenham Hotspur, Chester fc itakutana na Liverpool, huku Chelsea wao watacheza na Perth Glory na Arsenal kuvaana na Wood.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako