• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya China yasema mradi unaofadhiliwa na nchi hiyo umefikisha matangazo ya televisheni kwenye vijiji elfu 10 barani Afrika

    (GMT+08:00) 2018-07-06 18:56:10

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema, mradi wa kufikisha matangazo ya televisheni kwenye vijiji elfu 10 vya Afrika umezinduliwa mwaka jana, ambao unafikisha matangazo kwenye vijiji vya nchi 25 barani humo.

    Bw. Lu amesema mradi huo unalenga kuzidisha maisha ya utamaduni ya wakazi wa huko na kuhimiza mawasiliano ya utamaduni kati ya watu wa China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako