• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China asema hakuna mshindi kwenye vita ya kibiashara

    (GMT+08:00) 2018-07-06 19:30:17

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang amesema kuwa hakuna atakayenufaika katika vita ya kibiashara, lakini China itachukua hatua za kujibu kama jambo hilo likitokea.

    Li Keqiang amesema hayo alipokutana na waandishi wa habari mjini Sofia, Bulgaria, akiwa na mwenyeji wake Boyko Borissov.

    Waziri mkuu wa China yuko nchini Bulgaria kwa ziara ya kikazi, na pia kuhudhuria mkutano wa 7 wa China na nchi 16 za Katikati na Mashariki mwa Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako