• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kufungua milango zaidi kwenye soko lake la hisa kwa wawekezaji kwa kigeni

  (GMT+08:00) 2018-07-08 19:47:47

  China itafungua milango kwa wawekezaji wa kigeni kwenye soko la hisa, hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka ya usimamizi wa mirahaba ya China CRSC.

  Wageni hao ni pamoja na wale wanaofanya kazi katika China Bara na wafanyakazi wa kampuni zilizoorodheshwa kwenye masoko ya hisa ya dartaja la A ya China, tena wanashirikishwa katika mfumo wa kupewa marupurupu ya hisa ya kampuni zake.

  Katika hatua nyingine, taasisi za usimamizi wa mirahaba kutoka mataifa ambayo wafanyakazi wa kigeni wanatoka, yanamearifiwa kuanzisha na kuimarisha mifumo ya ushirikiano na CSRC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako