• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Raia 41 wa China wathibitishwa kufariki kwenye ajali ya boti kisiwani Phuket, Thailand

  (GMT+08:00) 2018-07-09 09:24:42

  Ubalozi wa China nchini Thailand umethibitisha kuwa hadi jana, raia 41 wa China walikuwa wamefariki dunia kwenye ajali ya kupinduka kwa boti iliyotokea kisiwani Phuket. Idadi ya ujumla ya vifo vinavyotokana na ajali hiyo imeongezeka hadi 42 na wengine 14 bado hawajulikani walipo.

  Imefahamika kuwa vikosi viwili vya uokoaji kutoka China vinashiriki kwenye kazi ya uokoaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako