• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mbio za Baiskeli: Chris Froome ashindwa katika mzunguko wa kwanza wa mbio za Tour de France

  (GMT+08:00) 2018-07-09 10:38:42

  Mzunguko wa kwanza ya michuano ya baiskeli ya Tour de France imekamilika kwa waendesha baiskeli wazoefu kupata matokeo ya kushangaza akiwemo mshindi mara nne wa mbio hizo Chris Froome wa Uingereza kuachwa nyuma.

  Mwendesha baiskeli mwingine aliyetarajiwa kufanya vizuri katika mzunguko wa kwanza ni Mcolombia Fernando Gaviria ambaye hata hivyo hakufua dafu.

  Mzunguko wa pili unatazamiwa kufanyika leo ikiwa ni makala ya 105 ya mbio hizo maarufu duniani Tour de France.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako