• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya biashara ya China yafafanua sera ya kukabiliana na mgogoro wa biashara

  (GMT+08:00) 2018-07-09 20:13:30

  Msemaji wa wizara ya biashara ya China amefafanua sera ya China ya kukabiliana na mgogoro wa biashara na Marekani.

  Msemaji huyo amesema, China imelazimika kujibu hatua ya Marekani ya kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa za China kuanzia tarehe 6, wakati ilipotoa orodha ya bidhaa za Marekani zitakazoongezewa ushuru wa forodha, na imefikiria uwezekano wa kuagiza bidhaa hizo kutoka nchi nyingine na athari kwa biashara na uwekezaji. Amesema China bado inakamilisha sera ya kukabiliana na mgogoro wa biashara na Marekani, na inakaribisha mapendekezo kutoka sekta mbalimbali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako