• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yazingatia kujenga kituo cha mafuta  Djibouti

    (GMT+08:00) 2018-07-09 20:23:39
    Serikali ya Ethiopia, inapanga kujenga kituo cha mafuta katika bandari ya Djibouti.

    Kampuni ya Utoaji wa Mafuta ya Ethiopia (EPSE) inapata bidhaa za petroli kutoka kwenye vyombo vya mafuta na kuiweka kwenye kituo cha mafuta hadi itakapowekwa kwenye malori ya mabomba ya mafuta ambayo husafirisha bidhaa kuenda Ethiopia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako