• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kaunti ya Laikipia kuwekeza katika teknolojia, kilimo cha biashara, utalii na nguo

  (GMT+08:00) 2018-07-09 20:24:35
  Gavana wa kaunti ya Laikipia ameweka wazi mipango ya kuvutia wawekezaji zaidi wa ndani na nje.

  Mpangilio wa mpango huo ni kuanzishwa kwa kuweka data iliyo na viashiria muhimu kwenye sekta zote za uchumi wa kaunti.

  Gavana wa Laikipia Ndiritu Muriithi amesema wawekezaji wanahitaji upatikanaji wa haraka wa data ili kufanya maamuzi ya uwekezaji.

  Mpango huu unalenga teknolojia, kilimo cha biashara, utalii na nguo. pia ina mpango wa kuanza kukodisha magari na vifaa

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako