• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yarusha satelaiti mpya ya mfumo wa kuongoza mawasiliano wa Beidou

  (GMT+08:00) 2018-07-10 09:14:08

  Leo alfajiri China imerusha satelaiti mpya ya kuongoza mawasiliano ya Beidou kwa kutumai roketi ya Long March-3A kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Xichang, kusini magharibi mwa mkoa wa Sichuan. Hiyo ni Satelaiti ya 32 ya mfumo wa Beidou, na pia ni moja ya satelaiti za kizazi kipya aina ya Beidou-2. Mfumo wa Beidou wa China unalenga kushindana na mifumo ya GPS wa Marekani, GLONASS wa Russia na Galileo wa Ulaya kwenye huduma za kuongoza mawasiliano duniani. Mradi huo uliozinduliwa rasmi mwaka 1994, umeanza kutoa huduma nchini China mwaka 2000 na kwa kanda ya Asia na Pasifiki mwaka 2012.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako