• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Fifa yawaalika kushuhudia kombe la dunia vijana wa soka waliokwana Thailand

  (GMT+08:00) 2018-07-10 10:08:50

  Rais wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA Gianni Infantino amewaalika watoto wa timu ya mpira ya wirld boys walionasa kwenye pango la chini kwa chini huko Thailand kwenye fainali ya Kombe la dunia zoezi la kuwaokoa linoloendelea kwa kasi kubwa litakapokamilika.

  Kwa niaba ya jumuiya ya soka ulimwenguni, Infantino amemwandikia barua Rais wa soka wa Thailand (FA), Somyou Poompanmoung kwa ajili ya mwaliko huo, ambapo pia amemtumia salamu za faraja yeye binafsi na kwa waThailand wote.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako