• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China aeleza njia ya kutatua suala nyeti la Mashariki ya Kati

    (GMT+08:00) 2018-07-10 19:21:28

    Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi leo hapa Beijing ameendesha mkutano wa 8 wa mawaziri wa baraza la ushirikiano kati ya China na nchi za kiarabu.

    Katika mkutano huo, Bw. Wang Yi amesema kuwa, inapaswa kutatua suala nyeti la Mashariki ya Kati kwa njia za amani, haki, kiujenzi na ushirikiano shirikishi. Bw. Wang Yi amesema, ni lazima kushikilia kutatua masuala kwa njia ya kisiasa, kuhimia mazungumzo, na kuepuka mzunguko mbaya wa kutumia hatua za kimabavu, pia kushikilia kutumia vigezo vya haki, ili kuifanya amani iwe ya kudumu.

    Wang Yi amesema, ni vema kushikilia kudhibiti hali kwa njia ya kiujenzi, na kujenga hali ya jumla ya kusimamisha vurugu na kuelekea utulivu, kuzingatia maslahi halali ya pande mbalimbali, na kujenga muundo wa amani wa kikanda wenye wazi na utulivu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako