• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ahutubia ufunguzi wa mkutano wa 8 wa mawaziri wa baraza la ushirikiano kati ya China na nchi za kiarabu

    (GMT+08:00) 2018-07-10 19:27:35

    Mkutano wa 8 wa mawaziri wa baraza la ushirikiano kati ya China na nchi za kiarabu umefunguliwa leo hapa Beijing.

    Katika mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba inayohusu "kushirikiana kuhimiza uhusiano wa wenzi wa kimkakati kati ya China na nchi za kiarabu katika zama mpya", ambapo China na nchi za kiarabu zimekubaliana kujenga uhusiano wa wenzi wa kimkakati unaotupia macho siku za mbele, na wenye ushirikiano wa pande zote na maendeleo ya pamoja.

    Rais Xi Jinping amesisitiza kuwa, China inapenda kushirikiana na nchi za kiarabu kuimarisha kuunganisha mkakati na utekelezaji, kushirikiana kujenga miradi ya pendekezo la China la "Ukanda Mmoja na Njia Moja", na kushirikiana kuwa mlinzi wa amani na utulivu wa Mashariki ya Kati, mlinzi wa haki na usawa, mhimizaji wa maendeleo ya pamoja na marafiki wa kuigana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako