• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa ulinzi wa China akutana na wajumbe wa Kongamano la kwanza la ulinzi na usalama la China na Afrika

    (GMT+08:00) 2018-07-10 19:32:02

    Waziri wa ulinzi wa China Bw. Wei Fenghe leo hapa Beijing amekutana na wajumbe kutoka nchi 49 za Afrika wanaohudhuria kongamano la kwanza la ulinzi na usalama kati ya China na Afrika.

    Mada kuu ya kongamano hilo ni kushirikiana na kusaidiana, na lina lengo la kuzidisha uhusiano wa wenzi wa ushirikiao wa kimkakati kati ya China na Afrika. Bw. Wei Fenghe amesema, China na Afrika ni marafiki, wenzi na ndugu, zinapaswa kushikilia kuongoza ushirikiano wa usalama kwa wazo la kisasa, kuhimiza ushirikiano huo kwa maendeleo ya pamoja, na kuelekeza ushirikiano wa usalama kwa ujenzi wa uwezo, ili kutoa mchango kwa kulinda amani, utulivu na ustawi wa maendeleo ya kikanda na dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako