• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Gharama ya umeme kupungua Uganda

  (GMT+08:00) 2018-07-10 19:55:47
  Watumiaji wakubwa wa umeme nchini Uganda wataanza kufurahia punguzo ya gharama za huduma hiyo za asilimia 20 baada ya serikali kusaini makubaliano ya kurefusha muda wa kulipa mkopo wa mradi wa kawi wa Bujagali kwa miaka 15.

  Mkuu wa mamlaka ya kuthibiti umeme nchini humo Ziria Waako, amesema kwa kipindi cha miaka 6 iliopita mradi wa, Bujagali umekuwa ukitumia mapato kutoka kwa wateja kulipa karibu nusu ya mkopo uliotumika wa dola milioni 900.

  Mkopo huo ulikuwa umetolewa na shirika la kimataifa la fedha IFC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako