• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hafez Ghanem ateuliwa makamu wa rais wa benki ya dunia  Afrika

  (GMT+08:00) 2018-07-10 19:57:27
  Benki ya dunia imemteua Hafez Ghanem kuwa makamu wake barani Afrika kuanzisa Julai 1.

  Hafez Ghanem ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 na anatarajiwa kuongoza kundi la wataalam wa benki hiyo barani Afrika ambako kuna zaidi ya miradi 600 ya dola bilioni 71.

  Pia amefanya kazi kwa zaidi ya nchi 30 zikiwemo za Afrika, Ulaya, mashariki ya Katina katikati mwa Asia.

  Hadi kuteuliwa kwake alikuwa makamu wa rais wa benki hiyo katika kanda ya mashariki ya kati na kaskazini mwa Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako