• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 13 wauawa na wengine 47 wajeruhiwa baada ya mlipuko kutokea kwenye mkutano wa hadhara Pakistan

  (GMT+08:00) 2018-07-11 08:52:13

  Watu 6 wameuawa na wengine 20 wajeruhiwa baada ya mlipuko kutokea kwenye mkutano wa hadhara wa chama cha ANP mjini Peshawar, kaskazini magharibi mwa Pakistan. Polisi mjini humo wamesema mshambuliaji wa kujitoa muhanga alijilipua wakati kiongozi wa chama cha ANP katika mkoa huo Bw. Haroon Bilour akihudhuria mkutano huo mjini Peshawar, na Bw. Bilour ameuawa kwenye mlipuko huo. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako