• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vijana wote 12 na kocha wao waokolewa kutoka pangoni Thailand

  (GMT+08:00) 2018-07-11 08:52:33

  Vijana wote 12 na kocha wao wa mpira wa miguu wameokolewa kutoka kwenye pango lililofurika maji kaskazini mwa Thailand, baada ya kukwama ndani kwa siku 18. Kiongozi wa uratibu wa operesheni ya uokoaji Bw. Narongsak Osatanakorn, amesema wamekamilisha operesheni ya uokoaji, ambayo haikuwahi kufanikiwa duniani. Kundi la wataalamu zaidi ya mia moja wa kupiga mbizi walikuwa wakifanya kazi katika pango hilo, na wamekuwa wakiwaelekeza wavulana hao kwenye giza na maeneo yaliyofurika maji kwenda kwenye mlango wa pango hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako