• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya yaanza kwa kushinda medali za dhahabu

  (GMT+08:00) 2018-07-11 10:13:37

  Wachezaji Chipukizi kutoka Kenya, Rhonex Kipruto na Beatrice Chebet jana wameshinda medali za dhahabu katika siku ya kwanza ya mashindano ya riadha ya kimataifa nchini Finland.

  Beatrice alishinda mbio za mita 5,000 na kuandika historia ya kuwa mkenya wa kwanza kushinda taji hilo kwenye mashindano kama hayo.

  Lakini Licha ya kuweka rekodi mpya ya kutumia muda mfupi zaidi, Kipruto Rhonex alishinda mbio za mita 10,000 na kutetea ubingwa wa nchi yake ambapo katika msimu uliopita Rogers Kwemoi wa Kenya alishinda medali ya dhahabu.

  Mashindano hayo ya riadhaa ya IAAF yaliyoanza Julai 10 yanatarajiwa kufungwa Julai 15.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako