• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wachezaji Wote wa timu moja ya vijana walionasa pangoni huko Thailand waokolewa

  (GMT+08:00) 2018-07-11 10:14:04

  Chama cha Soka cha Thailand kimesema ripoti ya madaktari ndiyo itaamua endapo watoto 12 wa timu ya mpira wa miguu ya Wild Boars pamoja na mwalimu wao watakwenda kushuhudia mechi za kombe la dunia kufuatia mwaliko wa FIFA uliotumwa siku ya jumatatu.

  Chama hicho kimesema madaktari wanaendelea na uchunguzi wa kina wa afya za wachezaji hao ambao kwa sasa wote wameokolewa, walinasa kwa zaidi ya siku kumi pangoni wakati wakifanya utalii.

  Licha ya FIFA kutoa ofa kwa timu hiyo, jamii mbalimbali za kimataifa zimeendelea kutuma salamu za faraja kwa vijana hao, ujumbe wa pongezi kwa waokoaji kwa kazi kubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako