• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serena aweka rekodi baada ya kufuzu nusu fainali

  (GMT+08:00) 2018-07-11 10:14:41

  Serena Williams wa Marekani jana amefanikiwa kushinda mechi iliyokuwa ngumu kwake na kufuzu nusu fainali kwenye michuano ya Wimbledon inayoendelea nchini Uingereza.

  Licha ya kuanza kufungwa katika seti ya kwanza, Serena aliweza kurejea na kushinda seti mbili za mwisho kwa alama 3-6 6-3 6-4 dhidi ya Camila Giorgi wa Italia.

  Kwenye mechi ya nusu fainali siku ya Alhamisi, Serena atacheza dhidi ya Julie Jorges wa Ujerumani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako