• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Israel aelekea Russia kujadili uwepo wa Iran nchini Syria

    (GMT+08:00) 2018-07-11 19:45:56

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekwenda nchini Russia kukutana na rais wa nchi hiyo Vladmir Putin ili kujadili uwepo wa Iran nchini Syria.

    Katika taarifa yake kabla ya kuondoka Israel, Bw. Netanyahu amesema anatarajia kujadiliana na rais Putin kuhusu Syria, Iran, na mahitaji ya ulinzi ya Israel. Huu utakuwa ni mkutano wa tatu kati ya viongozi hao katika miezi sita iliyopita, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa uratibu kati ya Russia na Israel kuhusu shughuli zao za kijeshi nchini Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako