• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Young Basketball Association yasimamishwa kufanya shughuli za michezo

  (GMT+08:00) 2018-07-12 09:54:44

  Chama cha mpira wa kikapu Zanzibar (BAZA) kimeisimamisha shughuli za michezo zinazofanywa na taasisi ya Young Basketball Association (ZYBA) kwa sababu ya kutokuwa na mamlaka ya uendashaji wa michezo wa mpira wa kikapu Zanzibar kwa mujibu wa sheria.

  Barua iliyosainiwa na katibu mkuu chama cha mpira wa kikapu Zanzibar AbdulRahman Mohamed Hassan alisema tasisi hiyo imesamamishwa kwa kutofautiana na Baraza la michezo la taifa la Zanzibar (BMTZ) na kanuni ya mpira wa kikapu Zanzibar, chama cha mpira wa kikapu Zanzibar ndio wenye maamlaka ya kuendesha shuguhuli za mpira wa kikapu Zanzibar.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako