• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Wakulima wa mahindi Uganda walalamikia kushuka kwa bei

  (GMT+08:00) 2018-07-12 19:27:38
  Wakulima katika eneo la Bunyooro nchini Uganda wamelalamikia kuendelea kushuka kwa bei ya mahidni wakisema wamepata hasara na kusalia na madeni.

  Wakizungumza mjini Hoima, wakuliwa hao wamesema walikuwa wamekopa fedha wakati wa msimu wa upanzi lakini sasa hawajapata soko lenye bei zuri kwa mahindi yao.

  Afisa mkuu wa ufalme wa Bunyooro Andrew Byakutaga, amesema wakulima wengi wanahofia huenda wakapoteza mali zao kulipia mikopo hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako