• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Masahriki yaongoza kwa uchumi Afrika

  (GMT+08:00) 2018-07-12 19:27:38
  Tume ya Umoja wa Afrika imesema kanda ya Afrika Mashariki ndio yenye ukuaji mkubwa wa kiuchumi barani Afrika ikilinganishwa na maeneo mengine.

  Ripoti ya tume hiyo imesema kanda ya Afrika Mashariki meendelea kuwa na ukuaji wa kiuchumi wa zaidi ya asilimia 4 kwa mwaka tangu mwaka wa 1990.

  Ripoti hiyo aidha imesema nchi za Afrika Mashariki na Magharibi zimefanikiwa kupunguza umaskini mkubwa kwa asilimia 23 na asilimia 12 mtawalia kati ya 1990 na 2013.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako